⚠️ Teknolojia inaweza kukupotezea muda



⚠️ Teknolojia inaweza kukupotezea muda

Teknolojia si hatari kwa sababu ya usalama pekee.
Inaweza pia kukupotezea muda.
Social media, video, games na notifications vinaweza kukufanya kutumia masaa mengi bila kutambua.
Teknolojia inapaswa kuwa chombo cha kukusaidia, si kitu kinachotawala maisha yako.
Jiwekee muda wa kutumia simu.
Zima notifications zisizo muhimu.
Tenga muda wa kujifunza, kufanya kazi na kupumzika.
💫www.Letaplus.online⚡

Chapisha Maoni

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Mpya zaidi Nzee zaidi

نموذج الاتصال