🔐 Kwa nini umakini ni muhimu katika matumizi ya teknolojia?


 
🔐 Kwa nini umakini ni muhimu katika matumizi ya teknolojia?
Watu wengi wanapopata simu mpya, programu mpya au huduma mpya ya mtandaoni, jambo la kwanza huwa ni kuanza kuitumia bila kusoma masharti, bila kuchunguza usalama na bila kujua taarifa wanazotoa.
Hili linaweza kuwa kosa.
Kabla hujaweka taarifa zako kwenye mfumo wowote wa kidijitali, ni muhimu kujiuliza:
Je, huduma hii ni salama?
Nani anapata taarifa ninazoweka?
Ninawezaje kurejesha akaunti yangu endapo itapotea?
Je, ninatumia password salama?
Je, ninajua ninachokubali ninapobonyeza “Accept”?
Maswali haya yanaweza kuonekana madogo, lakini yanaweza kukusaidia kuepuka matatizo makubwa.



💫www.Letaplus.online⚡

Chapisha Maoni

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Mpya zaidi Nzee zaidi

نموذج الاتصال