📱 Simu janja si kifaa cha mawasiliano pekee,


📱 Simu janja si kifaa cha mawasiliano pekee
Leo hii smartphone inaweza kuwa ofisi, benki, darasa, studio, duka na kituo cha biashara kwa wakati mmoja.
Kupitia simu moja unaweza:
Kufanya biashara mtandaoni
Kutangaza bidhaa na huduma
Kujifunza kozi mbalimbali
Kufanya malipo
Kusimamia akaunti zako
Kuhifadhi picha na nyaraka
Kuwasiliana na wateja
Kutengeneza maudhui
Kusimamia website au blog
Kutumia zana za Artificial Intelligence
Hii ndiyo sababu simu inapaswa kutunzwa kwa umakini mkubwa.
Usiache simu yako bila lock, usimpe mtu password zako, na usisakinishe programu kutoka sehemu usiyoijua.

Chapisha Maoni

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Mpya zaidi Nzee zaidi

نموذج الاتصال