🛡️ Usikubali kila link unayotumiwa



🛡️ Usikubali kila link unayotumiwa
Moja ya mambo muhimu sana katika usalama wa mtandao ni kuwa makini na links.
Unaweza kutumiwa ujumbe unaosema:
“Umeshinda zawadi, bonyeza hapa.”
Au:
“Akaunti yako imefungwa, ingia hapa kuithibitisha.”
Au:
“Tuma taarifa zako ili upate huduma.”
Usikimbilie kubonyeza.
Kwanza chunguza link hiyo inakupeleka wapi.
Ikiwa ujumbe unahusu benki, huduma ya simu, email au platform fulani, ni salama zaidi kwenda kwenye app au website rasmi badala ya kufuata link usiyoijua.
💫www.Letaplus.online⚡

Chapisha Maoni

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Mpya zaidi Nzee zaidi

نموذج الاتصال