🔑 Linda password zako



🔑 Linda password zako
Password ni moja ya kinga muhimu ya akaunti zako.
Usitumie password rahisi kama:
123456
password
12345678
au jina lako pekee.
Badala yake, tumia password yenye mchanganyiko mzuri wa herufi, namba na alama inapowezekana.
Pia ni vizuri kutotumia password moja kwenye akaunti zako zote.
Kwa mfano, kama mtu ataweza kupata password yako ya email na umetumia password hiyo hiyo kwenye akaunti nyingine, anaweza kujaribu kuitumia kufungua huduma zako nyingine.
Usimpe mtu password yako kwa urahisi.
Hata kama mtu anadai kuwa ni mfanyakazi wa kampuni fulani, hakikisha kwanza.

💫www.Letaplus.online⚡

Chapisha Maoni

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Mpya zaidi Nzee zaidi

نموذج الاتصال